Vitendawili (Riddles) Vya Kiswahili Na Majibu

1 min read

Vitendawili (Riddles) vya Kiswahili

  1. mama nielekee answer = kitanda
  2. mlima sipandi answer = maji
  3. nanya supu natupa nyama answer = muwa
  4. namsikia lakini simuoni answer = upepo
  5. mlima wa kwetu hupandwa kunzia kilele answer = ugali
  6. popo mbili za vuka mto answer = moto
  7. fatuma mchafu answer = kifagio
  8. ni langu lakini hutumiwa na wengine answer = jina
  9. natembea juu ya miiba lakini sichomwi answer = ulimi
  10. kiti cha dhahabu hakikaliki answer moto

Mfano:

Kitendawili? — Tega!

Aliwa, yuala; ala, aliwa. — Papa. 

————————————————————————————————————-

Chagua jibu sahihi:

  1. Likitoka halirudi.
  2. Reli yangu hutandika ardhini.
  3. Watu wote ketini tumfinye mchawi.
  4. Nameza lakini sishibi.
  5. Mwanamke mfupi hutengeneza pombe nzuri.
  6. Hesabu haihesabiki.
  7. Tega nikutegue.
  8. Mzungu yuko ndani na ndevu ziko nje.
  9. Wanastarehe darini.
  10. Mama ametengeneza chakula lakini hakula.
  11. Shamba langu miti mitano tu.
  12. Askari wangu wote wamevaa kofia upande.
  13. Huwafanya watu wote walie.
  14. Po pote niendako anifuata.
  15. Nakupa lakini mbona huachi kudai.
  16. Atolewapo nje hufa.
  17. Mama nibble.
  18. Likitoka halirudi.
  19. Po pote niendako anifuata.
  20. Hakisimami, na kikisimama msiba.
  21. Hesabu haihesabiki.
  22. Reli yangu hutandika ardhini.
  23. Mama nibble.
  24. Tajiri aniweka mfukoni na maskini anitupa.
  25. Afahamu kuchora lakini hajui achoracho.
  26. Nameza lakini sishibi.
  27. Anakuangalia tu wala halali au kutembea.
  28. Shamba langu kubwa lakini mavuno hayajazi kiganja.
  29. Cheupe chavunjika manjano yatokea.
  30. Po pote niendako anifuata.
  31. Hakisimami, na kikisimama msiba.
  32. Watu wote ketini tumfinye mchawi.
  33. Shamba langu miti mitano tu.
  34. Atolewapo nje hufa.
  35. Mzungu yuko ndani na ndevu ziko nje.
  36. Ukiukata haukatiki, ukiushika haushikiki.
  37. Tega nikutegue.
  38. Nyumba yangu ina nguzo moja.
  39. Askari wangu wote wamevaa kofia upande.
  40. Hamwogopi mtu yeyote.

Majibu:

hindi, mwiba, neno, tumbo, kivuli, nyuki, moyo, majani, kula ugali, chungu cha kupikia, siafu, neno, moshi, mate, mkono wa vidole, kitanda, panya, samaki, nyota, kivuli, majani, konokono, kitanda, picha, yai, hindi, mate, uyoga, kivuli, siafu, nywele kichwani, makamasi, kula ugali, mwiba, moshi, mkono wa vidole, samaki, moyo, njaa, nyota

Total Execution Time content: 0.00015851656595866 Mins Total Execution Time social : 0.0000 Mins

Read Next

Total Execution Time red next: 0.0000 Mins

Search Now






Categories