Sifa za Wahusika Katika Riwaya Kigogo na Pauline Kea kenya

Kea

sifa za wahusika katika kigogo

sifa za ashua katika kigogo

maudhui katika tamthilia ya kigogo

sifa za tunu katika kigogo

maswali ya kigogo

maudhui ya kigogo

maudhui katika kigogo

sifa za majoka

 

Fafanua Sifa Za Boza Katika Kigogo

BOZA;
NifundiwakuchongavinyagoSagamoyo,mumeweAsiya(mamapima)
SIFA ZAKE
Nimwenyehasira.
AnamwambiaSudikwahasirakuwaembelakelinanukafee.(uk1)
Nikikaragosi.
Anateteaviongozikuwanijukumulaokusanyakodi, kuwa huku ndilo kujenga nchi na kujitegemea.(uk3)
AnafurahiawimbowauzalendounaosifiauongoziwaMajokailhalihalinitofauti
Sagamoyo kulingana na maudhui katika wimbo huo.
Anamuunga Majoka mkono ili afaidi.
Mwenyemajisifu.
Anajisifu kuwa keki yauhuruimeokwanamkewakemwenyewe.
Nimsaliti.
Anawasaliti wanamapinduzi kwa kuunga mkono uongozi Mbaya wa Majoka mkono

 

Sifa Za Tunu KatikaKigogo

Baadhi ya Sifa za Tunu:
1. Msomi- Ana shahada ya. udaktari katika sheria inayomwezesha kutetea haki za wanasagamoyo.
Mwenye Msimamo thabiti – Licha ya kuvamiwa na kuvunjwa mguu na Uongozi wa Majoka halegezi Msimamo wake wa kutetea Wanasagamoyo.
Jasiri – Licha ya kutishiwa na Majoka kuwa angemwangamiza hasitishi upinzani wake.
– anamfuata Majoka Hadi kwake kumwambia awafungulie soko la Chapakazi.
Mtetezi- Anaanda maandamano ya kushinikiza kufunguliwa kwa soko la Chapakazi kwa ushirikiano na Sudi.

UMUHIMU WAKE UTOKANE NA SIFA ZAKE:
1. Anaendeleza maudhui ya elimu kwa kusomea udaktari wa sheria.
2. anaendeleza maudhui ya nafasi ya mwanamke kama vile jasiri, mkombozi, msomi- no.
1. Anajenga sifa za Majoka mfano katili- anapowatuma majambazi kumvamia na kumvunja mguu.

JALADA – Kigogo
Jalada ni picha iyoko mbele ya tamthilia hi ya “Kigogo”
Kuna picha ya mtu wa kiume aliyeketi kwenye kiti akiwa ameshikilia kidevu chake na Rungu mknoni.
– Kiti Ni ishara ya Uongozi. kwa hivyo kiti alichokalia Ni ishara kuwa yeye ndiye amekalia kiti Cha Uongozi hususani wa Sagamoyo.
– Rungu aliyoshikilia mkononi ni ishara ya mamlaka aliyo nayo. 
– Amefunikwa na rangi nyeusi kuashiria kuwa Ni kiongozi wa kiafrika.
– Ameshika kidevu Kama ishara kuwa anawazia Jambo Fulani hususani upinzani wake Tunu unaotatiza Uongozi wake.
Kuna ramani ya Afrika walimosimama watu wanaotazamwa na mtu huyu.
– Hii ni ishara kuwa hawa Ni watu kutoka mataifa ya Kiafrika waluoathirika na Uongozi mbaya wa Baada ya kuondolewa kwa mzungu.
-wamefunikwa na wingu jeusi kuashiria matatizo yanayowakumba watu weusi yakisababishwa na Uongozi kutoka kwa viongozi wao wa kiafrika mfano soko la Chapakazi walilolitegemea kwa kila namna linafungwa na Majoka.
Nyuma na umati huo wa watu Kuna mwangaza mkubwa unaowamlika Kama ishara ya matumaini yanayoletwa na Tunu kujitolea kupigania haki za Wanasagamoyo Hadi kumwondoa Majoka uongozini.

Uchambuzi wa jalada la KIGOGO.
Kitabu hiki ni Tamthilia ambacho ni mara ya kwanza kuidhinishwa katika shuke za upili hapa nchini Kenya.

Kimeandikwa na Pauline Kea…

Michoro ipo kwenye jalada lake na ni kama ifuatavyo:
+Mchoro wa ramani ya Afrika uliochorwa kwa rangi nyeusi. Mchoro huu ni ishara wazi kuwa manthari husika ni Afrika.

+Mchoro wa watu waonekanao kama vivuli kwenye mchoro wa ramani ya Afrika. Pia ni rangi nyeusi kiashiria cha watu wa bara la Afrika.

 


Tags:Related Posts


Comments (6)

 • at
 • 27/Apr/18 02:02pm

ningpnda niwambie wanafunzi wenzangu kwamc wawe na juhudi wa kusoma ktabu teule kua hubunifu bila wasiwasi kwa kuipata kua mtandao,,,??? someni wenzangu

Reply
Type the above code here
 • at
 • 19/Aug/18 09:50am

Nimefurahia kwa maelezo yenu mazuri ,nimeridhika kama mwanafuñzi was kidato cha tatu

Reply
Type the above code here
 • at
 • 16/Oct/18 03:26am

pongezi sana,nimepatakufahamishwa zaidi

Reply
Type the above code here
 • at
 • 06/Nov/18 12:10pm

Hongera

Reply
Type the above code here
 • at
 • 26/Apr/20 04:30pm

kindly assist me get sifa za wahusika katika tamthilia ya kigogo please

Reply
Type the above code here
 • at
 • 28/Oct/20 02:16am

Pongezi sana! Nimefahamishwa sana na makala haya na pia kupata mafunzo kem kem kando na yale tunayapata darasani. Kazi nzuri!

Reply
Type the above code here

Leave a Comment

Type the above code here