43 Kigogo Dondoo Questions And Answers pdf marking scheme

7 min read

Kigogo Dondoo Questions and Answers

1.... Hivi vishahada vyao wanavyovipata siku hizi vinawavimbisha  kichwa! Mtu anaitwa daktari na hata kazi ya maana hana.... a. Weka dondoo hili hili katika muktadha wake 

(Alama 4) 

  1. Fafanua mbinu mbili za sanaa alizozitumia mwandishi  (Alama 4) 
  2. Ukirejelea tamthilia ya Kigogo, dhihirisha kuwa mtu anaitwa daktari  na hata kazi ya maana hana.(alama 12 
  3. Utawala wa majoka katika jimbo la sagamoyo umejaa sumu ya  nyoka’’. Jadili usemi huu(alama 20)  
  4. テ「竄ャナクWamenimaliza… Wamenigeuka…″. 
  5. a) Weka dondoo hili katika muktadha wake. 

(Alama 4) 

  1. b) Eleza namna msemaji amemalizwa na kugeukwa? 

(Alama 4) 

  1. c) Eleza umuhimu wa msemaji. 

(Alama 4) 

  1. d) Eleza jinsi wahusika wengine walivyomaliziwa katika tamthilia.   (Alama 8) 
  2. "Mataifa mengi ya Afrika yamekumbwa na tatizo la uongozi mbaya."  Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kurejelea tamthilia ya kigogo. (al  20) 
  3. Uliona nini kwa huyo zebe wako? Eti mapenzi! 
  4. a) Eleza muktadha wa dondoo. 

(alama 4) 

  1. b) Andika mbinu mbili za lugha zinazojitokeza kwenye dondoo  hili. (alama 4)
  2. c) Taja hulka za mnenaji unaojitokeza katika dondoo. 

(alama 2) 

  1. d) Mwanamke ni kiumbe wa kukandamizwa. Thibitisha kauli hii  ukirejelea tamthilia. (alama 10) 
  2. Ni bayana kwamba viongzoi wengi katika nchi zinazoendelea  wamejawa na tamaa na ubinafsi. Thibitisha kauli hii ukirejelea  tamthilia ya kigogo. (alama 20) 
  3. “Unayazika matumizi yetu .Unaifukia kesho yetu.” 
  4. Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4) 
  5. Onyesha jinsi anayeambiwa maneno haya anavyoifukia kesho ya  wenzake (alama 16) 
  6. ”Msiba wa kujidunga hauna kilio.” Thibitisha kauli hii kwa kurejelea  ya Kigogo (alama 20) 
  7.  
  8. a) Utawala wa sagamoyo unatumia mbinu nyingi kubakia mamlakani.  Fafanua zozote kumi (alama 10) 
  9. b) Mwanamke ni nguzo imara katika ujenzi wa jamii. Eleza kauli hii  ukirejelea tamthilia ya kigogo (alama 10) 
  10. “Tuacheni kufumbatia maji kama jiwe. Sagamoyo inahitaji  mabadiliko, damu nyepesi ili kuufungua ukurasa mpya” a) Eleza muktadha wa dondoo hili  

(alama 4) 

  1. b) Kwa kutoa mifano taja tamathali mbili za usemi zinazojitokeza  katika dondoo hili(alama4)  
  2. c) Kwa nini sagamoyo inahitaji mabadiliko? (alama 10) 

 

  1. d) Taja sifa moja ya msemaji inayojitokeza katika dondoo hili  (alama 4) 
  2. Kwa kurejelea mifano mbalimbali thibitisha dai kuwamwandishi  huyu amemlika uhalisia wa jamiiya Kenya (al. 20)  12. Ona sasa! Mnaniharibia biashara. Nimewapa dakika moja muione  nyumba hii paa. Nikiwapatahapa, mtajua kwa nini wananiita……… a) Fafanua muktadha wa dondoo hili. (al. 4)  b) Tambua kwa kutolea mfano mbinu moja ya lugha inayojitokeza  katika muktadha huu. (al.2)  
  3. c) Kwa kurejelea mifano mbalimbali eleza madhara/matokeo ya  shughuli za msemaji katika dondoo hili kwa jamii husika (al. 14) 
  4. Eleza jinsi mbinu zifuatazo zilivyotumika katika Tamthlia hii.  (alama 20)  
  5. a) Kinaya  
  6. b) Majazi  
  7. Ami ? Tangu lini ukawa ami yangu? 
  8. a) Eleza muktadha wa dondoo  

(Alama 4)  

  1. b) Taja mbinu iliyotumika katika dondoo hili  

(AIama 2) 

  1. c) Eleza sifa za msemaji (AIama  8)  
  2. d) Bainisha maudhui ya nafasi ya mwanamke ukizingatia mhusika  huyu (AIama 8) 

 

  1. Uongozi mbaya ni tatizo sugu linalokumba mataifa mengi ya  Afrika. Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kurejelea tamthilia ya  kigogo. (alama 20)  
  2. ``Haja zako ni haja zangu, shida zako ni shida zangu, kiu yangu ni  kiu yako. `` 
  3. a) Weka dondoo hili katika muktadha wake. Alama 4  b) Kwa kurejelea dondoo taja na ueleze sifa nne za msemaji na  msemewa. Alama 8  
  4. c) Taja tamathali ya usemi inayojitokeza katika dondoo alama 2  d) Kwa kurejelea tamthilia ya kigogo eleza jinsi mbinu zifuatazo  zimejitokeza 
  5. Nyimbo  
  6. Jazanda 
  7. Majazi alama 6  
  8. “Mimi ni mtu wa vitendo, si wa vishindo.” 

(a) Weka dondoo hili katika muktadha wake.  

(alama. 4) 

(b) Kwa kurejelea dondoo eleza sifa mbili za mnenaji  

(alama. 4) 

(c) Thibitisha ukweli wa kauli ya mnenaji.  

(alama. 12) 

  1. Ukiukaji haki na uvunjaji sheria ni mambo yaliyokithiri katika  jimbo la Sagamoyo. Thibitisha. (alama. 20) 
  2. “………..Acha porojo zako . Kigogoo hachezewii watafuta  maangamimi!”  
  3. a) Eleza muktadha wa dondoo hili (alama 4)  b) Fafanua sifa za muzungumzaji (alama 4) 

 

  1. c) Eleza jinsi msemewa alivyokuwa akimchezea kigogo katika  muktadha huu. (alama2)  
  2. d) Kwa kurejelea hoja kumi kutoka kwenye tamthilia Onyesha  ukweli kuwa ‘Kogogo hachezewi (alama 10) 
  3. Kwa kirejelea tamthilia ya kigogo, jadili mbinu - ishi tunazojifunza  kutokana na kijana Tunu. (alama 20)  
  4. “Ukitaka kukula asali kaa na nyuki!” 
  5. a) Eleza muktadha wa dondoo hili. [alama 4] b) Bainisha mbinu iliyotumika katika dondoo hili. 

[alama 2] 

  1. c) Eleza jinsi wahusika hawa walivyofaidika kutokana na kukaa na  nyuki. [alama 14] 
  2. Chopi 
  3. Kenga 
  4. Ngurumo 
  5. Mamapima  
  6. Eleza jinsi mwandishi alivyotumia mbinu ya majazi. [alama 20] 
  7. “Shika hamsini zako wewe ... Hatutaki kufanya nira na mtu ...” (a) Eleza muktadha wa dondoo hili. 

(alama 4) 

(b) Eleza tamathali ya usemi iliyotumika. 

(alama 2) 

(c) Uongozi wa Majoka umesheheni sumu ya nyoka. Thibitisha kwa  kudokeza hoja kumi na nne. (alama 14)

 

  1. . Utawala mbaya ni tatizo sugu linalozikumba nchi nyingi za  kiafrika. Jadili, kwa kurejelea matukio ishirini katika tamthilia ya  Kigogo (alama 20) 
  2. “Ulitaka wahamie wapi siku kama hizi? Wamekuja kuuguza  majeraha yao ya kufungiwa soko.” 
  3. a) Weka maneno haya katika muktadha wake. 

(alama 4) 

  1. b) Tambua mbinu mbili za lugha katika dondoo hili 

(alama 2) 

  1. c) Kando na kufungiwa soko, Wanasagmoyo wanauguza majeraha  yepi mengine yanayosababishwa na utawala wa Majoka (alama 5) 
  2. d) Fafanua sifa za msemaji wa dondoo hili. 

(alama 9) 

  1. "Si haki. Unayazika matumaini yetu. Unaifukua kesho yetu.  Unatupoka utu na heshima yetu." 
  2. a) Fafanua muktadha wa maneno haya. (alama 4) b) Eleza tamathali iliyotumika kwenye dondoo hili. (alama 2) c) Onyesha vile mrejelewa alivyoyazika matumaini na alivyofukua  kesho yao. (alama 14) 
  3. Tamthilia ya Kigogo ni taswira kamili ya matatizo yanayokumba  mataifa mengi barani Afrika. Fafanua ukirejelea Tamthilia nzima.  (alama 20) 
  4. “Kitabu si jalada, fungua ndani usome mambo. Kitanda  usichokilalia kunguni wake huwajui.” 
  5. a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (al.4)
  6. b) Kwa kurejelea tamthilia ya kigogo, thibitisha ukweli wa dondoo  hili. (al.14) 
  7. c) Taja tamathali za usemi zilizotumika katika dondoo hili.  (al.2) 
  8. Eleza mbinu alizotumia majoka kuendeleza uongozi wake.  (al.20) 
  9. “Oooh bebi, miaka yaenda mbio sana, nayo sura yako  inachujuka……” 
  10. a) Weka dondoo hili katika muktadha wake. (alama 4) b) Mhusika anayehusishwa na wimbo huu ana msimano gani wa  kimapinduzi? (alama 8) 
  11. c) Taja sifa zozote nane za muhusika huyu (alama 8) 
  12. Tamthilia ya ‘Kigogo’ ni kioo cha uhalisia wa maisha ya jamii  nyingi za kiafrika. Thibitisha. (alama 20) 
  13. “Mguu huu ni wako” 
  14. a) Eleza muktadha wa dondoo hili (al.  4) 
  15. b) Ni tamathali gani ya usemi iliyotumika katika dondoo hili. Eleza  maana yake (al.2) 
  16. c) Msemewa alipewa ahadi zipi  

(al. 5) 

  1. d) Eleza sifa na umuhimu wa mzungumzaji  

(al. 9)  

  1. “Dalili ya mvua ni mawingu, lazima tuwe macho”.
  2. a) Eleza muktadha wa dondoo hili.  

(alama 4) 

  1. b) Bainisha tamathali ya usemi iliyotumika katika dondoo hili. (alama 2) 
  2. c) Ushauri uliotolewa na msemaji baadaye kama njia mojawapo ya  kuwa macho ni wa kidhalimu. Fafanua. (alama 4) d) Eleza namna unafiki wa msemaji na upumbavu wa mnenewa  unavyodhihirika katika muktadha wa dondoo hili. (alama  e) Onesha jinsi ukweli wa kauli hii ulivyojitokeza baadaye katika  tamthilia. (alama 4) 
  3. Jadili migogoro inayojitokeza katika tamthilia ya kigogo, kisha  utathmini namna ilivyosuluhishwa. (alama 20) 
  4. “ Do ! Do ! Simameni ! Simameni leo kutanyesha mawe! “ (i) Eleza muktadha wa dondoo hili.  

( alama 4) 

(ii) Fafanua mbinu za lugha zilizotumika katika dondoo  (alama 4) 

(iii) Dhihirisha kwa kuzingatia hoja sita jinsi mwanamke  alivyosawiriwa katika tamthilia ya “ Kigogo.” (alama 12) 36. Eleza kwa kutolea mifano mitano mitano jinsi mwandishi  alivyofaulu kutumia mbinu za : 

  1. a) mbinu rejeshi  

(alama 10) 

  1. b) sadfa (alama10) 37. Eleza jinsi mbinu ya taharuki ilivyotumika kufanikisha maudhui  katika tamthilia ya kigogo. (alama 20)
  2. "Maandamano na migomo ni tatizo sugu katika mataifa  yanayoendeleaa." Kwa kurejelea tamthilia ya kigogo, eleza chanzo na  athari za maandamano na migomo. (alama 20) 
  3. Jadili jinsi maudhui ya uzalendo yamejitokeza katika tamthilia ya  Kigogo (alama 20) 
  4. Jadili ufaafu wa anwani "kigogo" katika tamthilia ya kigogo.  (alama 20) 
  5. Mwandishi wa kigogo amewajenga wanawake kwa njia hasi na  chanya. Jadili kauli hii kwa kutolea mifano kutoka tamthilia (alama  20) 
  6. "Wananchi katika mataifa ya Afrika hukumbwa na matatizo ya  viongozi wanafiki." Thibitisha kauli hii kwa kutolea mifano kutoka  tamthilia ya kigogo. (alama 20) 
  7. Fafanua jalada la tamthilia kigogo (alama 20)
Total Execution Time content: 0.00024182001749674 Mins Total Execution Time social : 0.0000 Mins

Read Next

Total Execution Time red next: 0.0000 Mins

Search Now






Categories