Blanketi Langu Lina Madoadoa Vitendawili Na Majibu Yake

1 min read

Blanketi langu lina madoadoa = Chapati 

kuku wangu katagia mwibani => Nanasi 

anachora lakini hajui achoracho. => Konokono

 

Vitendawili hufikirisha na kufanya watu wavihusishe na hali halisi ya maisha na vitu au matukio mbalimbali katika mazingira yao na dunia kwa ujumla.

Mifano ya vitendawili ni:

 • 1. Popoo mbili zavuka mto (macho).
 • 2. Wazungu wanachungulia dirishani (makamasi).
 • 3. Blanketi la babu lina chawa (mbingu).
 • 4. Uzazi wangu umeniponza (Kinyonga).
 • 5. Huku tamu na huku tamu, katikati pachungu (jua).

Vitendawili vina utaratibu maalumu vya kuvianza. Mfano:

 • Mtegaji: Kitendawili?
 • Hadhira: Tega.
 • Mtegaji: Popo mbili zavuka mto?
 • Hadhira: miguu.
 • Mtegaji: Mmekosa! nipeni mji.
 • Hadhira: Nenda Mwanza?.
 • Mtegaji: Siendi.
 • Hadhira: Nenda kagera?
 • Mtegaji: Naenda, jibu lake ni macho.

Mwingine:

 • Mtegaji: Mzazi ana miguu, mzaliwa hana.
Total Execution Time content: 0.00040908257166545 Mins Total Execution Time social : 0.0000 Mins

Read Next

Total Execution Time red next: 0.0000 Mins

Search Now


Categories